Denzel Washington akitumia jina la McCall katika movie ya the
equalizer, amecheza kama mtu ambaye anaamini kuwa ameacha nyuma historia yake
ya awali na kujitolea kuanza mwanzo mpya na maisha ya utulivu. Lakini wakati
McCall anapokutana na Teri, ambaye ni msichana mdogo
chini ya udhibiti wa Ultra ambaye jambazi, hawezi kubaki kimya na anaamua
kumsaidia. Ujuzi wake katika mapigano ndio silaha yake tosha katika kulipiza
kisasi kwa wale wababe wote wanaotesa wanyonge.
Imetoka rasmi: 26/09/2014
Starring
- Denzel Washington as McCall
- Chloe Grace Moretz as Teri
- Marton Csokas as Teddy
Starring
- Denzel Washington as McCall
- Chloe Grace Moretz as Teri
- Marton Csokas as Teddy

No comments:
Post a Comment