Katika kukaribia kuadhimisha miaka 5 ya ndoa yake, Ben Affleck a.k.a Nick Dunne anaripoti polisi kuhusu upotevu wa mke wake na ghafla anageuka kuwa gumzo kubwa kwa vyombo vyote vya habari. Baada ya uchunguzi wa muda mrefu wa mapolisi uongo wake kuhusiana na tabia yake cha kuchepuka nje ya ndoa, anasa na tabia zake za ajabu zinabainika. Je, baada ya haya yote kubainika Nick Dunne anaweza kuwa ndiye aliyemuua mke wake.... Kwa uhondo zaidi usiache kuitafuta movie ya GONE GIRL
Imetoka rasmi: 03/10/2014
Starring
- Ben Affleck as Nick Dunne
- Rosamund Pike as Amy Dunne
- Tyler Perry as Tanner Bolt
INAPATIKANA HAPA
Imetoka rasmi: 03/10/2014
Starring
- Ben Affleck as Nick Dunne
- Rosamund Pike as Amy Dunne
- Tyler Perry as Tanner Bolt
INAPATIKANA HAPA

No comments:
Post a Comment