Wednesday, December 24, 2014

Hatimaye usafiri wa DAR - KIGOMA wapata unafuu

Kilio cha wakazi wengi wanaotokea upande wa magharibi mwa Tanzania hasa hasa pande zile za KIGOMA hatimaye kimepata unafuu baada ya serikali ya Tanzania kununua vichwa vipya vya Train kusaidia usafiri kuwa mwepesi baada ya wakazi wengi kulalamikia muda mrefu waliokuwa wakiutumia hapo zamani. Katika uzinduzi huo uliofanyika hivi karibuni waziri wa uchukuzi mh. Harrison Mwakyembe aliambatana na Waziri Mkuu wa Tanzania mh. Mizengo Pinda katika ukaguzi na uzinduzi huo wa hayo mabehewa mapya

Muonekano wa nje wa Mabehewa Mapya

Sehemu ya abiria kulala

Sehemu ya abiria kukaa

Mizengo Pinda na Harrison Mwakyembe

Sehemu ya Jikoni


No comments:

Post a Comment