Mapadri 3 walikutana na kuambiana kuwa kwa kuwa wote ni watumishi wa Mungu basi kila mmoja aseme tatizo lake au makosa yake yanayomkabili halafu kwa pamoja wataombeana ili Mungu amuepushie.
Kila mtumishi alianza kuelezea matatizo yake kama ifuatavyo
Padri 1: Mie tatizo langu ni kuwa hata nijizuiaje lazima nitaiba sadaka.
Padri 2: Mie tatizo langu ni kuwa ninapenda sana wake za watu na hapa usharikani kwangu nishalala na wake za watu kadhaa. (Akaanza na kuwataja majina yao wote)
Padri 3: Mie tatizo langu umbeya yaani kama mliyosema hapa yote siwezi kujizuia lazima nikitoka hapa nikawaelezee watu wangu wote wa karibu.
Unajua kilichofuata?
No comments:
Post a Comment