Monday, December 22, 2014

Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Leo 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

Taarifa iliyotolewa jana usiku na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam, imeeleza kuwa kumeitishwa Mkutano na waandishi wa habari Leo asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Mkutano utafanyika saa tatu kamili asubuhi na kila chombo kimetakiwa kutuma Mwandishi pamoja na mpiga picha ambao wametakiwa kuwa tayari wameketi vitini ifikapo saa Mbili Unusu bila kuchelewa wala kukosa.

Agenda ya mkutano huo ni "SHUGHULI MAAUM" na hakuna ufafanuzi zaidi uliotolewa. 

Ikumbukwe pia kwamba mchana Jumatatu Rais ataongea na wazee wa Dar es salaam. 

Huenda (NARUDIA "HUENDA") Mkutano wa wazee ukatumika kufafanua yatakayotoka katika
mkutano na wanahabari Asubuhi. 
Last edited by Mwana Mpotevu; Yesterda

No comments:

Post a Comment